Watoto walioshtakiwa kwa kulawiti wafutiwa kifungo cha maisha jela
Shinyanga. Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, imefuta mwenendo, kutiwa hatiani na adhabu ya kifungo cha maisha jela walichohukumiwa vijana wanne waliomlawiti kwa zamu mwanamke mwenye miaka 39 na kumpora simu. Hukumu imetolewa Machi 12, 2025 na Jaji Ruth Massam baada ya kusikiliza rufaa iliyowasilishwa na vijana hao kupinga hukumu iliyowatupa maisha gerezani. Ameamuru kesi isikilizwe…