
Wakili apigania haki wafungwa kupata unyumba gerezani
Dar es Salaam. Wakili mkoani Iringa amewasilisha ombi Mahakama Kuu akiomba itamke kuwa, vifungu vya sheria vinavyowazuia wafungwa kuonana faragha na wenza wao wa ndoa na kupata unyumba havina uhalali Kikatiba. Vilevile, ameiomba Mahakama itoe amri kwamba, wafungwa walio katika ndoa halali waruhusiwe kukutana faragha na wenza wao kinyumba bila usimamizi wa askari magereza. Katika…