
Madhara ya tumbaku kwa wanaoishi na kisukari
Dar es Salaam. Kwa mtu anayeishi na kisukari, kila uamuzi kuhusu mtindo wa maisha una uzito wa kiafya. Mojawapo ya maeneo ya uamuzi ni matumizi ya tumbaku. Huenda wengine wakadhani kuwa tumbaku inaathiri mapafu tu, lakini ukweli ni kwamba kwa mtu mwenye kisukari, tumbaku huathiri kila kona ya mwili, kutoka kwenye mishipa ya damu, hadi…