KAMATI YA BUNGE YA PIC YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO
Na Mwandishi wetu Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato na kusema kuwa, uwanja huo ukikamilika utakuwa lango la uchumi kwa wananchi wa Dodoma na taifa kwa ujumla. Akizungumza leo, Machi 12, 2025, katika ziara ya…