BARAZA LA MADIWANI NA KAMATI YA USHAURI WILAYA YA LUDEWA WARIDHIA KUGAWA JIMBO
Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza huduma kwa wananchi kwa urahisi zaidi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya mnamo Februari 2,2025 Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi kutoa tangazo la kuruhusu…