Sura mpya kuongoza kurugenzi za Chadema
Dar es Salaam Ni sura mpya katika nafasi za ukurugenzi ndani ya Chadema, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kamati Kuu ya chama hicho iliyojifungia kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kufanya uteuzi. Kamati Kuu chini ya uenyekiti wa Tundu Lissu ilikutana katika kikao chake Machi 10-11, 2025, makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini…