UJUMBE WA KISAYANSI KUTOKA URUSI WATEMBELEA TAFORI KUJADILI USHIRIKIANO WA UTAFITI

Na Mwandishi Wetu,Morogoro KATIKA jitihada za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika utafiti wa misitu na uhifadhi wa mazingira, ujumbe wa wanasayansi kutoka Urusi umetembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Ziara hii ya siku mbili inalenga kuimarisha uhusiano wa kisayansi, kielimu na kiteknolojia kati ya Tanzania na Urusi katika sekta ya misitu na uhifadhi…

Read More

Watafiti Russia waleta ujuzi wa misitu nchini

Morogoro. Wataalamu wa misitu kutoka Russia wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali ya kuitafiti yatayosaidia kuifanya sekta ya misitu nchini kuwa bora zaidi. Katika mazungumzo hayo yaliyowahusisha pia maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), wakiongozwa na kamishna wa uhifadhi, Profesa Dos Santos Silayo, watalaamu hao waliobobea…

Read More

UCHAMBUZI WA MJEMA: Tanzania inahitaji upinzani imara leo kuliko jana, juzi

Novemba 2017, Rais mtaafu wa Tanzania (2005-2015), Jakaya Kikwete, alisema vyama vya siasa vilivyo madarakani barani Afrika, havipaswi kuvichukulia vyama vya upinzani kama maadui, bali wabia katika kuendeleza misingi ya kidemokrasia. Ukiacha tafsiri hiyo ya Kikwete, binafsi naviona vyama vya upinzani kama taa inayosaidia kuimulikia Serikali iliyopo madarakani kuna njia inayopita au kioo cha Serikali…

Read More