
AKILI ZA KIJIWENI: Kwaherini Ever Meza na Jhonior Blanco
JUZI Jumatano mida ya mchana wakati tukifuatilia Tamasha la Simba Day, Azam FC wakatushtua na taarifa ya kuwaacha nyota wanne wa kigeni ambao walikuwa nao msimu uliopita. Wachezaji hao ni Jhonior Blanco, Ever Meza, Mamadou Samake na Franck Tiesse. Katika hao wanne, wawili kijiwe kinaweza kutokuwa na deni nao sana ambao ni Blanco anayecheza nafasi…