
Azim amvaa MO, Salim | Mwanaspoti
MFADHILI wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewatuliza mashabiki huku akiwasisitiza Mohammed Dewji na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah Mhene ‘Try Again’ kujitokeza hadharani kusema jambo. Dewji ambaye alikuwepo Simba ikicheza fainali pekee ya CAF kwa klabu hiyo amesema kwa hali ilivyo sasa MO na Try again mmoja wao anatakiwa kutoka hadharani na kutuliza upepo…