Sampuli za walioteketea kwenye ajali ya malori zapelekwa kwa mkemia
Morogoro. Ndugu wa marehemu wawili waliofariki kwenye ajali ya malori yaligongana na kuwaka moto eneo la Nanenane barabara ya Morogoro – Dar es Salaam wamejitokeza na tayari sampuli zimeshapelekwa kwa mkemia ili ndugu hao waweze kutambua miili ya wapendwa wao. Akizungumza na Mwananchi Digital Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Alex Mkama amesema kutokana na…