Mastaa Azam wakosa bonasi, wapewa saba za kujitathimini
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amezitaja Azam na Tabora United kuwa ndizo timu zinazompa presha kwa sasa kutokana na ushindani uliopo wakiwania nafasi ya tatu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa. Ouma amesema hayo baada ya kuifunga Namungo bao 1-0 ugenini na kuifanya timu yake iendelee kusalia nafasi ya nne…