Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu CCM
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Machi 10, 2025 jijini Dodoma. Kikao hicho kitafuatiwa na kile cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC). Hata hivyo, taarifa ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla haikuweka wazi…