RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

*Amesema Tanzania mambo ni moto moto  *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arusha *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF wengi wahamasika kujiunga Na MWANDISHI WETU, Arusha.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema miongoni mwa mambo makubwa yaliyofanyika ni kuiruhusu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii…

Read More

Sababu wenza kukanyagana miguu siku ya ndoa

Dar es Salaam. Ndoa ni muungano wa maisha kati ya wanandoa unaotarajiwa kudumu kwa muda mrefu, mara nyingi hadi kufikia uzeeni. Pamoja na agano hilo kufungwa kwa mujibu wa taratibu za kidini au kiserikali, huambatana na desturi na mila tofauti zinazoakisi urithi wa kijamii. Moja ya desturi zinazotajwa mara kwa mara ni kitendo cha wanandoa…

Read More

Kamati Kuu Chadema kukutana Dar, Dk Slaa atajwa

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana katika kikao maalumu cha siku mbili kuanzia leo Jumatatu Machi 10-11, 2025 kujadili masuala mbalimbali, ikiwemo usaili wa wagombea katika kanda ya Unguja. Kanda hiyo ni sehemu ya kanda 10 za Chadema ambazo nyingine tisa zimeshamaliza uchaguzi wake na ilibaki ya Unguja…

Read More

Odundo CEO mpya wa NMG

Nairobi. Geoffrey Odundo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nation Media Group (NMG). Akitoa tangazo hilo kwa niaba ya bodi leo Jumatatu, Machi 10, 2025, Mwenyekiti Wilfred Kiboro amesema Odundo anajiunga na NMG ili kuimarisha timu na kuendelea kutekeleza jukumu ambalo NMG inatekeleza katika jamii. Kabla ya uteuzi wake, Odundo alikuwa…

Read More