
Rais Samia afanya uteuzi, yumo Balozi Sirro
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Balozi Sirro anachukua nafasi ya Meja Jenerali mstaafu, Michael Isamuhyo ambaye amemaliza muda wake. Taarifa iliyotolewa leo Aprili 5, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Dk Moses…