‘Walimu wasiosimamia adhabu ya viboko waondolewe’
Simiyu. Serikali imeshauriwa kuwaondoa katika nafasi zao walimu wakuu na wakuu wa shule za msingi na sekondari ambao watashindwa kusimamia utoaji wa adhabu ya viboko kwa wanafunzi kwa kufuata Waraka wa Elimu Namba 24. Ushauri huo umetolewa baada ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji na madhara kwa wanafunzi yanayosababishwa na adhabu hizo, hasa baada ya…