AUNT BETTIE: EX wangu ananitega, anadai hajanisahau
Niliachana na mpenzi wangu miaka mingi iliyopita, ila hatukugombana tuliona hatuwezi kufika mbali, tukaamua kuachana na kila mmoja akafuata njia yake. Sijamuona kwa miaka mingi. Ajabu nilipofunga ndoa mapema mwaka uliopita nikapigiwa simu na namba nisiyoijua kabla sijauliza jina nikaitambua sauti, kwanza nilistuka sana kwa sababu tulikuwa tunapendana ila hatukuweza kwenda pamoja katika safari ya…