Askofu Amani awaasa wanawake kujiheshimu, kuyaishi maadili
Arusha. Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Isack Amani amewataka wanawake na wasichana nchini kujiheshimu, kujiamini na kusimama imara katika maadili wakijiepusha na vitendo vya kujidhalilisha kwa namna yoyote ile. Ametaka maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake (IWD) leo Machi 8, 2025 itumike kuzalisha mawazo chanya kuhusu wanawake na wasichana. Askofu huyo ameyasema hayo…