Shabiki atumia laki tatu kuja kumuona Mpanzu, aambulia patupu
SHABIKI wa Simba aliyeonekana kuwa na hasira sana baada ya kupata taarifa ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba, amefichua kuwa ametumia kiasi cha shilingi laki tatu ili tu kuja kumshuhudia Elie Mpanzu, lakini imeshindikana. Mnazi huyo wa Simba ambaye kwa hasira alizokuwa nazo aligoma hata kutaja jina lake,…