Mbowe, Dk Slaa waibua shangwe Bawacha
Dar es Salaam. Wanawake wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), wamejumuika kusherehekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake. Wanawake hao waliovalia sare za vitenge wametoka mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar na wamekusanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Shughuli hiyo imehudhuriwa na mwenyekiti wa…