Aucho ataja kilichoibeba Yanga msimu huu 2023/2024
KIUNGO mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho amezungumzia jinsi majeraha yalivyompunguzia kasi ya kupambana msimu huu (2023/24), hata hivyo kilichompa faraja ni timu hiyo kunyakua taji la ubingwa mara tatu mfululizo. Aucho ambaye amechukua ubingwa mara mbili akiwa na Yanga aliyojiunga nayo msimu wa 2021/22 akitokea El Makkasa, alisema kuna kitu kimeongezeka kwenye karia yake, tangu…