Majaliwa: Vijana wenye elimu ya dini ni nguzo muhimu ya maendeleo
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema vijana wenye elimu na maarifa ya dini ni nguzo muhimu ya ustawi na maendeleo katika jamii, kwani imani imara ya kidini hujenga jamii zenye maadili mema, ufanisi katika kazi na upendo wa dhati kwa kila mmoja. Pia, Majaliwa amesema Serikali ina matarajio makubwa kwa vijana wanaoshiriki mashindano…