Viongozi vyama vya ushirika wapewa somo kuzingatia sheria
Moshi. Viongozi wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia mifumo ya sheria za ushirika na taratibu za kifedha ili kuepuka migogoro na upotevu wa rasilimali za vyama hivyo. Rai hiyo imetolewa jana Machi 7, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, anayeshughulikia umwagiliaji na ushirika, Dk Stephen Nindi wakati…