Kariakoo Dabi yaahirishwa, kupangiwa tarehe nyingine
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025, saa 1:15 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kabla ya kuahirishwa kwa mchezo huo, Simba ilitoa tamko usiku wa kuamkia leo Jumamosi ikisema haitapeleka…