Ripoti: Vijana wa Kitanzania wanaongoza kwa utulivu wa akili, lakini …
Dar es Salaam. Ripoti mpya imebaini kuwa vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili, wakipata alama za juu zaidi ikilinganishwa na wenzao katika nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani kote hata hivyo watu wazima wana utulivu zaidi. Hayo yamebainishwa na ripoti ya Mental State of the World 2024, iliyotolewa na taasisi mashuhuri kwa utafiti wa…