Licha ya dabi kuahirishwa, Yanga yatinga kwa Mkapa
LICHA ya kwamba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi, timu ya Yanga imefika uwanjani kwa lengo la kucheza mechi hiyo iliyopangwa awali kuchezwa dhidi ya Simba. Mchezo huo uliopangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kufuatia…