
Mauaji ya mwanaharakati wa Trump kuzua mpasuko mpya wa kisiasa Marekani
Washington. Rais Donald Trump ameagiza bendera ya taifa kupeperushwa nusu mlingoti, huku akitoa ujumbe mzito wa maombolezo kufuatia mauaji ya mwanaharakati na mshirika wake wa karibu, Charlie Kirk, yaliyotokea katika chuo kikuu huko Utah. Trump kupitia video fupi ya dakika nne aliyoichapisha kwenye akaunti yake ya Truth Social amelaani kitendo hicho kwa kusema; “kuwafanya wapinzani…