Tchakei aibeba Singida kwa Prisons Ligi Kuu
Bao la kichwa la dakika ya 50 lililofungwa na kiungo mshambuliaji Marouf Tchakei limetosha kuihakikishia Ihefu SC ushindi muhimu ugenini dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Tchakei amefunga bao hilo akitumia krosi ndefu ya kiungo mwenzake, Duke Abuya likiwa bao lake la kwanza tangu arejee akitokea katika majeruhi. Matokeo hayo ya…