
Upelelezi kuporomoka jengo Kariakoo wakamamilika
Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wafanyabiashara sita wakiwemo wamiliki wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, umekamilika. Kwa sasa upande wa Jamhuri upo katika hatua ya kuchapa nyaraka muhimu zilizopo katika jalada hilo ili washtakiwa hao wasomewa Maelezo ya mashahidi na vielelezo, kisha kesi hiyo…