
Picha za utupu WhatsApp zilivyosababisha mauaji
Moshi. Mahakama ya Rufani Tanzania, imemfutia adhabu ya kifo, Frank Ezbon, aliyemuua mpenzi wake, Jesca Lucas baada ya kukuta picha za utupu kwenye WhatsApp akiwa na mwanamume mwingine, badala yake imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela. Tukio la mauaji ya Jesca, lilitokea Julai 2020 katika nyumba ya kulala wageni ya Paradise Lodge iliyopo Mji wa…