Ndayiragije apewa faili la Nkane TRA United
MABOSI wa TRA United zamani Tabora United, wanaangalia uwezekano wa kumpata kwa mkopo nyota wa Yanga, Denis Nkane, baada ya mchezaji huyo anayecheza nafasi mbalimbali uwanjani kushindwa kupenya kikosi cha kwanza kutokana na ushindani uliopo. Hatua ya uongozi wa TRA United kuanza msako huo wa kuiwinda saini ya Nkane, unaanza baada aliyekuwa mshambuliaji wa timu…