Utata uliopo ACT-Wazalendo kuingia SUK
Dar es Salaam. Bado msimamo wa chama cha ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) umeendelea kuwa mwembamba, baada ya chama hicho kusema si kipaumbele chake kwa sasa. Kimesema kinatathmini kuona iwapo malengo ya kuundwa kwa SUK yanatimizwa kwa mfumo uliopo na kama hayatimizwi, hakitaona haja ya kuingia ndani ya Serikali hiyo, bali…