
NMB yaboresha Huduma za Makandarasi, sasa kukopeshwa hadi Bil. 5/- bila dhamana
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imezindua Maboresho ya Huduma za Kibenki kwa Makandarasi Wazawa, ambapo imefanya ongezeko la Kiwango cha Dhamana za Kuombea Kazi kutoka Sh. Bilioni 2.5 hadi Sh. Bilioni 5, huku ikiongeza pia Kiasi cha Dhamana za Miradi kutoka Sh. Bilioni 1.5 hadi Sh. Bilioni 3. Maboresho hayo yanayokwenda kutengeneza mazingira mazuri…