
Mgombea udiwani aahidi kujenga barabara, kufunga taa za kisasa
Mbeya. Mgombea udiwani Kata ya Isanga jijini Mbeya, Dourmohamed Issa ameomba wananchi kumpa ridhaa katika kipindi kingine cha miaka mitano, kwa lengo la kukamilisha miradi ya maendeleo na kusogeza huduma muhimu kwa jamii. Ametaja miongoni mwa miradi ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya barabara sambamba na kufunga taa za kisasa kwenye barabara ya Mbwiga,…