Walinzi wadaiwa kujimilikisha mashamba baada ya wamiliki kufariki dunia
Tanga. Imedaiwa kuwa, miongoni mwa vyanzo vikuu vya migogoro ya ardhi mkoani Tanga ni walinzi waliokuwa wamepewa jukumu la kusimamia mashamba, kujitwalia mali hizo baada ya wamiliki kufariki dunia. Malalamiko hayo yameibuliwa katika Kliniki ya Sheria, iliyo chini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, iliyowekwa kambi mkoani Tanga. Kliniki hiyo ilianzishwa baada ya Waziri…