
Kibu atimka, Simba yatoa msimamo
Wakati taarifa zikienea kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amekimbilia Norway, uongozi wa klabu hiyo umesema utamchukulia hatua za kinidhamu ikidai ni mtoro. Kauli ya Simba inakuja baada ya kuibuka kwa taarifa Kibu ametimkia Norway kimya kimya bila kutoa taarifa kwa klabu yake. Simba imezinasa nyaraka mbalimbali za Kibu zikionyesha kiungo huyo ametimka nchini na…