
Jamii yaaswa kusaidia watoto yatima
Dar es Salaam. Wito umetolewa kwa jamii kuwasadia watu wenye mahitaji maalumu ili nao washerehekee mwaka mpya kwa furaha. Hayo yamelezwa leo Desemba 31, 2024 na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wajomba Family, Salum Ally wakati wa utoaji wa misaada kwa watoto yatima Wilaya ya Kigamboni. Msaada huo umehusisha unga wa ngano, unga wa mahindi, mafuta…