Elfadhil arusha taulo Tanzania Prisons

BAADA ya kuitumikia Tanzania Prisons kwa miaka 16, aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Jumanne Elfadhil ametangaza kupumzika akiahidi kuisaidia timu hiyo kwa mawazo atakapohitajika, huku akitoa neno juu ya matokeo ya mechi mbili kwa Wajelajela hao. Elfadhil amekuwa katika kikosi hicho tangu alipoanza kuitumikia mwaka 2009 alipojiunga nayo, kwa sasa amesema hatarajii kurejea uwanjani tena…

Read More

MWANDISHI WA HABARI AMTABIRIA MAKUBWA DKT SAMIA

Na Rashid Mtagaluka Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na kijamii nchini, Saleh Mohamed, amesema Tanzania ipo katika njia sahihi ya maendeleo na kwamba miaka mitano ijayo nchi itakuwa imepiga hatua kubwa zaidi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza Septemba 4, 2025 kupitia mahojiano na Radio Free Afrika jijini…

Read More

Kocha ataja kinachombeba Diarra | Mwanaspoti

UTOFAUTI wa viwango vya magolikipa wa kigeni na wazawa, umeelezwa upo katika nidhamu ya muendelezo wa kile wanachokifanya uwanjani pamoja na bidii ya kutokuridhika na mafanikio kidogo. Kocha wa makipa wa Mbeya City, Patrick Mwangata, amesema wazawa walio wengi wanaridhika mapema, tofauti na wageni wanaoboresha viwango vyao ambapo kila msimu wanakuja na kitu kipya hali…

Read More

Hii hapa sababu bei ya nyama kupaa Tanzania

Dar es Salaam. Wakati uzalishaji wa nyama nchini ukiongezeka kwa asilimia 42.8 kati ya mwaka 2020 hadi 2024, soko la uhakika limetajwa kuwa sababu ya ukuaji huo. Ripoti ya Takwimu Msingi za Tanzania zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 2024, inaonesha kuwa uzalishaji wa nyama ulitoka tani 738,166 mwaka 2020 hadi kufikia tani…

Read More

Mara ngapi unavaa soksi bila kufua?

Dar es Salaam. Ni jambo la kawaida kuvaa jozi ileile ya suruali, sweta au hata fulana zaidi ya mara moja. Lakini vipi kuhusu soksi zako? Kama ungejua ni nini hasa huishi kwenye soksi zako baada ya siku moja tu ya kuzivaa, huenda ungefikiria mara mbilimbili kabla ya kuzivaa tena. Miguu yetu ni msitu mdogo wa…

Read More

Huu hapa wasifu wa Lukuvi, siku 25,790

Dodoma. Saa 1:00 asubuhi ya Machi 25, 2026, William Vangimembe Lukuvi, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), alifariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Lukuvi, akiwa na miaka 70 na Mbunge wa Isimani, Mkoa wa Iringa, aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka 31, amefariki dunia. Mwili wake…

Read More