
JKT Queens mzigoni tena | Mwanaspoti
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens leo wanashuka tena uwanjani kusaka tiketi ya kwenda nusu fainali ya michuano ya Klabu Bingwa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) watakapowakabili Yei Joint Stars kutoka Sudan Kusini. Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex uliopo jijini Nairobi, Kenya ikiwa ni mechi ya mwisho…