
Hatua kwa hatua maandamano waliokatwa majina ugawaji vizimba Kariakoo
Dar es Salaam. Maandamano mengine ya wafanyabiashara yameibuka katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2024 wakilalamikia majina yao kukatwa katika orodha ya wanaopaswa kurejeshwa sokoni humo. Maandamano hayo yaliohusisha wafanyabiashara zaidi ya 800, yamelenga kuushinikiza uongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo kuingiza majina yao ili nao wawe sehemu ya watakaopewa…