
Serikali ya Chaumma kupambana na madalali wa tumbaku
Kaliua. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimesema endapo kitaingia madarakani, kitahakikisha wakulima wa tumbaku wanapata manufaa halisi ya kilimo hicho kwa kuondoa changamoto zinazowakwamisha, ikiwamo udhibiti wa madalali wanaowanyonya. Chama hicho pia kimeahidi kuweka mifumo bora ya ununuzi wa tumbaku na kuhakikisha bei ya mazao inaakisi gharama halisi za uzalishaji ili kuongeza tija kwa…