
Wanakimanumanu waitana Mkwakwani | Mwanaspoti
WAKATI African Sports ikiwa katika presha ya kushuka daraja, viongozi na benchi la ufundi wamewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mechi ya mwisho na Transit Camp, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga, Mei 10. Ukiachana na Biashara United iliyoshuka daraja baada ya sare ya bao 1-1, dhidi ya Geita Gold, kwa sasa ni timu…