Marekani kuitaja Kenya “mshirika wake mkuu” wa nje ya NATO – DW – 23.05.2024

Rais Ruto yuko ziarani nchini Marekani kwa siku tatu. Biden, pamoja na mambo mengine, anatarajiwa kulitaja taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo si mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO kuwa mshirika wake mkuu, wakati Kenya ikijiandaa kupeleka vikosi nchini Haiti kama sehemu ya juhudi zinazoongozwa na Umoja wa Mataifa kushughulikia mzozo wa usalama nchini humo.  Kenya…

Read More

Angalia hapa majina ya ajira mpya serikalini

Dar es Salaam. Sekretarieti ya Ajira imewaita waliofanikiwa kupata ajira mpya serikalini kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi. Tangazo hilo limetolewa jana Jumatano Julai 24, 2024 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira, huku likibainisha ni wale waliofanya usaili kati ya Januari 15, 2023 hadi Juni 21, 2024 na wengine waliokuwa kwenye kanzidata. “Katibu wa…

Read More

Aucho, Dube mambo magumu, Diarra kicheko

Kuanzia Jumatano, Machi 19, 2025 hadi jana Alhamisi, nyota nane (8)  wanaocheza timu tofauti za Ligi Kuu Tanzania Bara wamekuwa wakizitumikia timu zao za taifa zinazoshiriki mashindano ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026. Katika mechi zao hizo baadhi zimepata matokeo mazuri, nyingine zimeondoka na pointi moja moja na kuna zilizoangusha pointi zote…

Read More

Kinachojadiliwa Kamati Kuu Chadema hiki hapa

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana katika kikao maalumu kikiwa na ajenda mbalimbali, ikiwemo uteuzi wa wakurugenzi, makatibu wa kanda, na taarifa ya utekelezaji wa ‘No Reforms No Election’. Ajenda hizo zimeanza kujadiliwa katika kikao hicho kilichoanza leo Jumatatu, Machi 10, 2025 na kinatarajiwa kuhitimishwa kesho Jumanne, makao…

Read More