
Wakazi Bonde la Mto Msimbazi waliamsha tena kutaka fidia
Dar es Salaam. Wakazi wa Jangwani waliopisha mradi wa uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi, jijini Dar es Salaam wameibua upya madai yao, wakikumbusha haki ya kulipwa fidia ya ardhi kwa mujibu wa sheria, baada ya maeneo yao kutwaliwa kwa ajili ya mradi huo. Mradi huo, unaotekelezwa chini ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais…