
TISEZA YAJE NA FURSA ZA MAENEO YA UWEKEZAJI WA VIWANDA JIJINI DODOMA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Meneja wa Kanda Kati wa Mamlaka ya Uwekezaji Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Bwana Venance Mashiba amesema kuwa Serikali kupitia Mamlaka hiyo imekuja kuhamasisha Uwekezaji wa Ujenzi wa Viwanda katika eneo linalomilikiwa na TISEZA lililopo katika eneo la Viwanda Nala Jijini Dodoma kwa kutoa eneo bure kwa Mwekezaji atakayekuwa…