Baba’ke Kamwe ndani kwa Mkapa Simba Day

BABA mzazi wa Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe yupo kwa Mkapa akishuhudia kilele cha wiki ya Simba Day. Mzee Shaaban Kamwe ambaye amekuwa akitangaza kuwa ni shabiki wa Simba ameingia uwanjani akikaa jukwaa la VIP. Mzazi huyo wa msemaji wa mabingwa wa Ligi Kuu Bara ameingia uwanjani tangu saa 10:00 jioni akiwa na mtoto…

Read More

Historia mpya, washtakiwa 30 wakiri makosa ya ugaidi

Dar es Salaam. Linaweza kuwa moja ya matukio nadra kutokea katika usikilizwaji wa kesi, baada ya washtakiwa wote 30 kukiri makosa kadhaa ya ugaidi na kuhukumiwa kifungo cha miaka sita jela, baada ya kusota gerezani kwa miaka 10. Uamuzi wa washtakiwa kukiri makosa ya ugaidi unaingia katika matukio yaliyovunja rekodi katika haki jinai, hasa ikizingatiwa…

Read More

Chino aingia na staili ya zombi 

MSANII wa Bongo Fleva na dansa maarufu, Chino Wanaman ndiye msanii wa kwanza kuburudisha kilele cha wiki ya Simba Day akiingia na staili ya zombi. Leo ni kilele cha Simba Day ambacho baadaye kitahitimishwa na burudani ya soka, Simba ikiialika Gor Mahia kutoka Kenya. Msanii huyo ameingia kusherehesha kwa Mkapa akiongozana na msanii wa singeli,…

Read More

UJENZI WA KAMPASI YA NJOMBE UDOM WAANZA KWA KASI

  Ujenzi ukienda kwa pamoja na usomaji ramani na michoro. Watalaamu wakiangalia kwa makini michoro ya ujenzi wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi. Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Lughano Kusiluka, ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya UDOM mkoani Njombe, huku akisisitiza mkandarasi kuongeza…

Read More

Dakika 10 za Joh Makini Simba Day

Msanii wa Hip Hop, John Simon Mseke maarufu Joh Makini amepiga shoo iliyoamsha shangwe kubwa kwaa mashabiki ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa akitumia takriban dakika 10. Joh Makini anayetambulika pia kwa jina la Mwamba wa Kaskazini, amepiga shoo hiyo katika Tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025. Shoo ya Joh Makini ilianza…

Read More

INEC yatoa angalizo kauli zinazochochea uvunjivu wa amani

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imeonya wanasiasa wanaotoa kauli kuhamasisha uvunjifu wa sheria kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele alisema hayo Septemba 9, alipoulizwa na Mwananchi kuhusu kauli za baadhi ya wanasiasa, wakiwamo wagombea wanaohamasisha wananchi kulinda kura. Jaji Mwambegele alisema kufanya hivyo…

Read More

Biashara ya chakula yatawala kwa Mkapa

ACHANA na mauzo ya jezi, biashara inayoonekana kuuzika kwa kiasi kikubwa ni vyakula mbalimbali. Ukiwatoa wale wanaouza kwenye mabanda hatua chache kidogo na Uwanja wa Mkapa, kuna walioweka meza pembezoni mwa uwanja huo uliowekewa uzuo. Kila aina ya chakula unayoijua ipo kwa Mkapa siyo chipsi na vitu vingine wala wali na ugali zipo sambusa zile…

Read More