
Man Utd yatangaza kuwekeza £50m huko Carrington.
Manchester United itaanza kazi ya kurekebisha jengo la timu ya kwanza ya wanaume kuwa la kisasa kwenye Uwanja wa Mafunzo wa Carrington wiki ijayo, kwa kulenga kuweka mazingira ya utendakazi wa hali ya juu kwa wachezaji na wafanyikazi. Mradi huo wa pauni milioni 50 utasababisha maeneo yote ya jengo hilo kufanyiwa ukarabati ili kutoa kituo…