Agizo la Mchengerwa la mitihani ya afya lazua mjadala wa ubora
Dar es Salaam. Kauli ya Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ya kutaka usimamizi wa mitihani ya vyuo na kada za afya kuhamishiwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeibua mjadala miongoni mwa wadau wa sekta ya afya. Wapo wanaounga mkono hoja hiyo kwa misingi ya kisera, na wengine wakionya kuhusu hatari ya kushusha viwango vya…