
MWANAFUNZI UDOM AIBUKA MSHINDI KWA KUBUNI NEMBO YA MADE IN TANZANIA
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya ( HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH) Bw. Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza wa bunifu ya Utengenezaji wa Nembo ya Made in Tanzania ambapo lilihusisha zaidi ya washiriki 80 nchini Tanzania….