
Ewura yasisitiza kuzingatia usahihi, usalama wa matumizi ya nishati safi
Dar es Salaam. Matumizi ya nishati safi ya kupikia yamekuwa ajenda muhimu duniani, hususan katika nchi zinazoendelea ambazo bado zinategemea kuni, mkaa, mafuta ya taa, mabaki ya mimea na vinyesi vya wanyama kwa ajili ya kupikia. Kutegemea nishati hizo zisizo salama kumechangia kuongezeka kwa matatizo ya kiafya, uharibifu wa mazingira na mzigo wa kiuchumi kwa…