DK.NCHIMBI AWAOMBA WANANCHI SHINYANGA KUMPIGIA KURA ZA KISHINDO ZA URAIS DKT.SAMIA,WABUNGE NA MADIWANI.

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wakazi wa mji mdogo wa Isaka wilayani Kahama, jimbo la Msalala,kwenye mkutano mdogo wa hadhara leo Alhamis Septemba 3,2025,mkoani Shinyanga. Pamoja na mambo mengine Dkt Nchimbi pia aliwanadi wagombea Ubunge,akiwemo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Msalala Mabula Johnson Magangila pamoja…

Read More

GASSHUKU 2025 LA JUNDOKAN TANZANIA LAFANA JIJINI DAR

  Wanafunzi na wakufunzi wa Jundokan Karate Do Tanzania leo Jumapili, Julai 6, 2025, wameungana katika Gasshuku – yaani semina maalum ya karate – iliyofanyika kwa mafanikio makubwa katika viwanja vya Shule ya Sekondari Azania, jijini Dar es Salaam. Neno “Gasshuku,” lenye asili ya Kijapani, linamaanisha “kambi ya pamoja ya mafunzo,” ambapo wakarateka wa viwango…

Read More

Mchengerwa atoa maagizo kumaliza changamoto za walimu

Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameiagiza Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), kutembelea walimu kwenye vituo vyao vya kazi na kujua changamoto zao, badala ya kung’ang’ania ofisini. Mbali na hilo pia ameiagiza TSC kushughulikia  kero na changamoto za walimu nchini ili kuondoa malalamiko…

Read More

Deni la Zanzibar ni himilivu -Rais Mwinyi

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakusanya shilingi bilioni 300 kila mwaka kwa kulipa madeni na Serikali inaweza kulipa deni lolote na bado ni himilivu. Dkt.Mwinyi aliyasema hayo leo tarehe 8 Agosti 2024 ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake alipozungumza na Kamati…

Read More

Kukomesha Fira katika Sweida ‘Kushikilia kwa kiasi kikubwa’ huku kukiwa na utulivu – maswala ya ulimwengu

Iliyotangazwa mnamo Julai 19, mapigano yalifuata a Wimbi la kusumbua ya mapigano ya madhehebu, ndege za Israeli na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mjumbe maalum wa UN kwa Syria Geir Pedersen aliambiwa Mabalozi katika Baraza la Usalama Siku ya Jumatatu kuwa Kuongezeka kwa hivi karibuni alikuwa “ametikisa” mabadiliko ya hatari ya nchi hiyo na…

Read More